Kwa Nini Pochi Zetu Ni Tofauti?
Kwenye soko kuna pochi nyingi, lakini si kila pochi inafaa kwa dada anayejielewa. Sisi huchagua kila design kwa umakini: mawe yamenyooka, zipu ni imara, mishono haiachii, na material inadumu. Ndiyo maana wateja wetu wanarudi tena na tena — na wengi huchukua zaidi ya moja.
Pochi zetu nyingi zinapatikana full box, kwa hiyo kama unataka kumzawadia dada, rafiki au mpenzi wako, mzigo unafika ukiwa na mwonekano wa kifahari tayari kwa zawadi.
Aina za Pochi za Wadada Tunazouza
- Pochi za begani (shoulder bags) — za kila siku, zinazokaa vizuri na outfit yoyote.
- Pochi za mkononi (handbags) — kwa dada wa ofisini na biashara anayetaka mwonekano wa smart.
- Pochi ndogo za kubeba simu na pesa — nyepesi, kwa matembezi ya haraka.
- Pochi za crossbody — comfort na usalama wa vitu vyako ukiwa safarini au sokoni.
Tupo Kariakoo — Tunakufikia Popote Tanzania
Duka letu lipo Kariakoo, Dar es Salaam, kitovu cha biashara Tanzania. Huna haja ya kusafiri: piga picha ya pochi unayoipenda kwenye Instagram yetu @trlfashion_, tutumie WhatsApp, na tunakutumia mzigo wako popote ulipo — Mwanza, Arusha, Dodoma, Mbeya, Tanga, Morogoro, Zanzibar na mikoa yote. Hujui uchague ipi kwa tukio gani? Soma mwongozo wetu wa kuchagua pochi.
Maswali ya Haraka
Naweza kununua wapi pochi za wadada Tanzania?
Duka la Pochi (T & R Store), Kariakoo, Dar es Salaam — au mtandaoni kupitia WhatsApp 0688 943 683 na Instagram @trlfashion_. Tunatuma mikoa yote.
Pochi za wadada zinauzwa bei gani?
Bei hutegemea design, ukubwa na material. Tuandikie WhatsApp au DM Instagram upate bei ya pochi unayoipenda mara moja.
Je, mnatuma pochi mikoani?
Ndiyo — delivery Tanzania nzima kupitia mabasi na njia za usafirishaji za uhakika, kwa urahisi na usalama.

