Delivery Tanzania Nzima · WhatsApp 0688 943 683

Mikoba ya Wanawake — Imara, Ya Kisasa, Yenye Nafasi

Mwanamke wa kisasa anahitaji mkoba unaobeba maisha yake yote — laptop, simu, vipodozi, madaftari — bila kupoteza style. Tunauza mikoba ya wanawake iliyochaguliwa kwa ubora: material imara, kamba zisizokatika na design zinazopendeza ofisini, chuoni na safarini.

Kwa Kila Mahitaji

Aina za Mikoba ya Wanawake Tunazouza

  • Mikoba ya kazi (office/tote bags) — inabeba laptop na documents, mwonekano wa professional.
  • Mikoba ya chuo — nafasi ya madaftari na vitabu, nyepesi kubeba siku nzima.
  • Mikoba ya safari (weekender) — kwa safari fupi za wikendi na travel light.
  • Mikoba ya kila siku — ya kati, inayochanganya nafasi na urahisi wa kubeba.
Mkoba mweusi wa ofisini wenye mapambo ya mawe ukiwa mkononi – mikoba ya kazi Tanzania
Tote ya ofisini — inabeba kazi, inaongeza kujiamini

Pochi au Mkoba — Unahitaji Kipi?

Wengi huchanganya, lakini tofauti ni rahisi: pochi ni ndogo hadi ya kati — kwa mapambo, mtoko na mahitaji machache ya siku. Mkoba ni mkubwa zaidi — kwa kazi, chuo na safari. Dada aliyekamilika anahitaji vyote viwili: mkoba wa asubuhi hadi jioni, na pochi ya kutoka nayo usiku. Angalia pia pochi zetu za wadada na pochi za mtoko.

Mkoba wa kahawia wa croc wa kifahari – mikoba ya wanawake ya luxury Tanzania Mkoba wa kijani na cream wenye hardware ya gold – mikoba ya kisasa Tanzania

Ubora Unaodumu Zaidi ya Msimu

Mkoba wa bei rahisi unaochanika baada ya miezi miwili ni hasara, si akiba. Mikoba yetu imechaguliwa kwa vigezo vikali: mishono iliyonyooka, zipu imara, material isiyobabuka na kamba zinazohimili uzito wa kila siku. Ununue mara moja, utumie kwa miaka.

Agiza Mkoba Wako Popote Ulipo Tanzania

Tupo Kariakoo, Dar es Salaam, na tunatuma mikoa yote — Mwanza, Arusha, Dodoma, Mbeya, Tanga, Zanzibar na kwingineko. Angalia collection kwenye Instagram @trlfashion_ kisha tuandikie WhatsApp 0688 943 683 upate bei na picha zaidi.

Maswali ya Haraka

Mikoba ya wanawake yenye ubora inapatikana wapi Tanzania?

Duka la Pochi (T & R Store), Kariakoo, Dar es Salaam — na mtandaoni kwa WhatsApp au Instagram @trlfashion_, delivery mikoa yote.

Kuna tofauti gani kati ya pochi na mkoba?

Pochi ni ndogo hadi ya kati kwa mapambo na mahitaji machache; mkoba ni mkubwa zaidi kwa kazi, chuo na safari.

Mkoba gani unafaa kwa kazi au chuo?

Mkoba wa kati au mkubwa wenye compartments nyingi na kamba imara. Tuandikie WhatsApp tukutumie chaguo zinazokufaa.

Wekeza Kwenye Mwonekano

Mkoba Imara Unakusubiri

Mwonekano unaosema mengi bila maneno. Karibu!